Skip to main content

Ridhwaa-Kinondoni yaomba wadau kuchangia ujenzi wa Chuo






Pichani kutoka kushotoni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi hiyo
Alhaj Suleiman Seif Nassor na kulia ni  Katibu wa bodi hiyo Abduil Rashld
Shenkh walipokuwa wakizungumza Dar es Salaam  juu ya  kujenga chuo Kikuu
 kitakacho gharimu Shilingi bilion mbili za kitanzania nchini.



TAASISI ya Ridhwaa-Kinondoni ya Jijini Dar es Salaam Tanzania imewaomba
wadau mbali mbali waelimu na watanzania wenye uzalendo kujitokeza
kuchangia  mpango wa kujenga chuo Kikuu kitakacho gharimu Shilingi bilion 
mbili za kitanzania ikiwa ni moja ya mikakati yao katika taasisisi hiyo kueneza
elimu nchini.


Akizungumza na mwandishi wa gazeti hili hivi karibuni Mwenyekiti wa Bodi 
ya Taasisi hiyo alhaji Suleiman Seif alisema  watanzania wenye moyo wa uzalendo 
amewaomba kujitokeza katika ujenzi wa chuo 


Taasisi hiyo iliyosajiriwa miaka 25 iliopita kwa jina la The Registered Trustees 
of Masjid Ridhwaa(RTMR) yaani Bodi ya Wadhamini ya Ridhwaa Seminari ikiwa na lengo 
la kujenga mskiti,kujenga vituo vya afya,vituo vya elimu na kuendesha miradi ya 
kiuchumi kwakuzingatiamisingi ya kiislaam.

Baada ya mafanikio makubwa Taasisi hiyo iliyo yapata kwakupitia shule ya Ridhwaa,
Taasisi hiyoina wiwa kuanzisha Chuo kikuu ambacho kitatutumika kuelemisha umma 
kwamapana zaidi nakuzalisha wataalamu katika nyanja mbali mbali nchini.

Hata hivyo Katibu wa Bodi hiyo Sheikh Abdul Rashid amesema kuwa ili kuunga 
mkono kauli ya Rais wa awamu ya tano Mh John Pombe Magufuli kuelekea uchumi 
wakati na wa viwanda.

"Pamoja nakwamba Taasisi yetu toka kuanzishwa kwake ilikuwa na malengo ya 
kimkakati ya kuanzisha Chuo kikuu cha aina yake lakini tumeona tuendane na
 kasi ya Mh Rais ili kabla hajaondoka madarakani Chuo hicho kitakachotambulika 
kwa jina la Musilim University of Tanzania (Chuo Kikuu Cha Kiislam Tanzania) 
kiwe kimekwisha kamilika.

Hadi sasa Mradi wa ujenzi wa chuo hicho umefanikiwa kukamilisha ghorofa 
moja kati ya ghorofa tano zinazo hitajika Sanjari na hilo tayari zipo 
ekari 23 katika kijiji cha Kisemvule wilayani Mkuranga kwa ajiri ya 
maendeleo ya taasisi hiyo Katibu huyo amewataka wasamalia wema na wenye 
mapenzi na Taasisi hiyo kuwaunga mkono katika michango ili kuweza kufanikisha 
ujenzi wa Chuo hicho ambacho ujenzi wake unakadiriwa kuchukuwa miaka miwili 
hadi kukamilika kwake kulingana na upatikanaji wa fedha.

"Rai yangu kwa wapenda maendeleo,waislaam,Taasisi mbali mbali za fedha na zile zisizo za 
fedha,serikalini na hata kwa watu binafsi wanayo nafasi kubwa yakuchangia maendeleo ya 
 chuo hicho kwani mwisho wa siku kitawafaa watanzania wote."

Mpango mkakati wa Chuo hicho nikutoa wahitimu watakao jiajiri wao wenyewe, nakutoa ajira 
kwa wengine.Huo ndiyo mpango mkakati wa kuanzishwa kwa chuo hicho kulingana na mabadiriko
 ya soko la ajira duniani.

Ulimwenguni kote watu wanatoa elimu itakayo mfanya mtu ajiajiri badala yakusubiri
 ajira toka serikalini au kwa mabepari ni wakati wa watanzania kuandaa mazingira ya
 kujiajiri.

Kutokana na ukweli usiopingika Taasisi ya Ridhwaa imeona hii ni fursa itakayo saidia 
vijana wengi ambao wataondokana na kuzurura na bahasha katika ofisi za umma na binafsi
 kwa kutafuta ajira.

Comments

Popular posts from this blog

Thousands of protesters clash with police in Chicago: Chaos in the Windy City as 45 activists arrested and one cop stabbed after demonstrators target NATO

By DAILY MAIL REPORTER Thousands of demonstrators upset with the war in Afghanistan, climate change and the erosion of union rights have raised the intensity of a march in downtown Chicago on Sunday as world leaders assembled for a NATO summit. The protest, one of the city's largest in years, turned violent at the end of an anti-NATO march, where demonstrators confronted Chicago police, pushing against a line of officers several blocks from the lakefront convention center where President Obama hosted a gathering of world leaders. Authorities were seen making arrests one by one and leading individual demonstrators away in handcuffs. After a clash near McCormick Place, Chicago Police Superintendent Garry McCarthy said at a news conference that the protests resulted in 45 people being arrested and four officers suffering injuries - one from a stab wound in the leg. Scroll down for video Clash: Demonstrators try to flee the police as they are move in on them

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was

HAYA NI MAKAO MAKUU YA MTANDAO WA Tigo TANZANIA DAR ES SALAAM

MAHALA yalipo ni Lugoda Street Gerezani Industrial Area , kwa sasa mdandao huu umefanya makubwa , kuna Tigo Bwerere Uilisha cheki hiyoooooo watu full kujiachia wana chonga tuu kwenye vyao vilonga.