KIUNGO wa Liverpool ambaye ni raia wa Ujerumani, Emre Can mwenye miaka 23 amesema kuwa atasaini mkataba mpya Anfield pamoja na tetesi zilizopo kuwa anatakiwa na klabu ya Juventus.
Wakati huohuo, staa mwingine wa Liverpool, Divock Origi amesema kuwa hajazungumza na kocha Jurgen Klopp tangu aondoke Anfield na kutua Wolfsburg kwa mkopo.
Comments