KLABU ya soka ya Aston Villa inataka kumchukua moja kwa moja kipa wa Manchester United, Sam Johnstone ambaye anacheza kwao kwa mkopo wa muda mrefu.
Wakati huohuo timu ya Arsenal imeripotiwa kumwinda kipa mwingine wa Manchester United, Sergio Romero mwenye miaka 30.
Aston Villa wanaweza kufanikiwa kumnasa Sam Johnstone lakini kwa Arsenal kupata huduma ya Romero inaweza kuwa mbinde.
Comments