Kampuni ya (SBC),wanayo furaha tele kukuletea Shindano kabamba litakalo julikana kwa jina la "Jishindie Mamilioni".
WASAMBAZAJI wa vinywaji baridi aina ya Pepsi.Mirinda,7 up,Mountain Dew(300ml,
pamoja na Evervess ambayo ni Kampuni ya (SBC),wanayo furaha tele kukuletea
Shindano kabamba litakalo julikana kwa jina la "Jishindie Mamilioni".
Hayo yamesemwa Dar es Salaam na Meneja masoko wa SBC ,Roselyne Buruno wa
kati alipo kuwa akizungumza na waandishi wa habari leo kuhusiana na shindano hilo,
amesema litahusisha mikoa ya Dar es Salaam,Pwani,Morogoro,Dodoma,Tanga,Lindi
pamoja na Mtwara ambapo Vizibovya Shindano hilo vitakuwa na rangi ya Silva na
litakuwa na zawadi za Pesa taslimu kiasi cha shiling:1,00,000/=,500,000/- 10,000/=,
5000/=,1000/= pamoja na Soda ya Bure.
"Ilimteja ajishindie zawadi anatakiwa kununua soda za jamii ya Pepsi kisha
abandue ganda la ndani ya kizibo akikuta maandishi ya pesa taslimu kama yalivyo
tajwa hapo juu,"anasema Roselyne .
Anasema pia baada ya kubandua mteja atakuta maandishi mengine aidha ya Free
Pepsi(Soda ya Bure) atakuwa amejishindia Soda hiyo hapo hapo.
Meneja masoko huyo alisema kuwa zawadi za Shilingi 1,000,000/=,5000,000 zitatolewa
kuanzia saa 4 asubuhi hadi saa9 jioni siku za Jumatatu hadi Ijumaa (Isipo kuwa siku za
siku kuu),SBC Tanzania ltd,54/57 wapo bara bara ya Nyerere Dar es Salaam ambapo
wamezitaja Depot zao kuwa ni Dar es Salaam , Morogoro na Lindi na pia Depot
ya Dodoma na kuwa ujio wa shindano lenyewe ndio fursa nzuri kwa wanywaji wa soda
hizo kushinda mamilioni ya ushindi.
SBC imetajwa kuwa Februari 2018 ndio siku ya mwisho ya kutoa zawadi.
Comments