MSHAMBULIAJI wa Wales, Gareth Bale amekubali kumalizana na klabu yake ya Real Madrid ili iweze kumruhusu aondoke mwishoni mwa msimu huu.
Bale anatakiwa na klabu za Manchester United na Tottenham ambayo ilimuuza kwa dau lililoweka rekodi duniani.
Mshambuliaji huyo yuko kwenye wakati mgumu kupata nafasi kikosi cha kwanza kutokana na kusumbuliwa na majeraha ya mara kwa mara.
Comments