Skip to main content

Video pamoja na taswira za tamasha la FestAfrica 2013 MD USA


Sherehe za tamasha la FestAfrica zilizofanyika Silver Spring Maryland Siku ya Jumapili Aug 11, 2013 lililohudhuriwa na mamia ya wakazi wa DMV nchini Marekani.

Muimbaji wa South Africa Lovraine Klaasen akitumbuizi katika tamasha la FestAfrica zilizofanyika Silver Spring Maryland Siku ya Jumapili Aug 11, 2013 lililohudhuriwa na mamia ya wakazi wa DMV nchini Marekani.

Lovraine Klaasen muimbaji kutoka South Africa akitumbuizi katika tamasha la FestAfrica zilizofanyika Silver Spring Maryland Siku ya Jumapili Aug 11, 2013 lililohudhuriwa na mamia ya wakazi wa DMV nchini Marekani.

 Mamia ya wakaazi wa DMV wakiserebuka nyimbo za muimbaji Lovraine Klaasen katika tamasha la FestAfrica zilizofanyika Silver Spring Maryland Siku ya Jumapili Aug 11, 2013 lililohudhuriwa na mamia ya wakazi wa DMV nchini Marekani.

Seif Msabaha  akiwa na mhariri wa swahilivilla Abou Shatry  katika tamasha la FestAfrica zilizofanyika Down town Silver Spring Maryland 

Mwanakamati ya maanfalizi ya  FestAfrica mTanzania Nenelna akipata picha ya pamoja na Abou Shatry pamoja na DMK ndani ya tamasha la FestAfrica  2013 zilizofanyika down town Silver Spring Maryland 

Seif Msabah akiwa na Cheif wa sahilivilla pamoja na  Mdau katika usambazaji flayer za concerts ya Morgan Heritage itakayofanyika Siku ya jumamosi Aug 24, mwishoni mwa mwezi huu.

DMK, Tanzania Nenelna Sunday Shomary na mhariri wa blog ya swahilivilla Abou Shatry

Mjini Silver Spring Maryland kulivyofuria mamia ya watu kutoka sehemu mbali mbali kuja kuangalia tamasha la  FestAfrica.

Muimbaji wa South Africa Lovraine Klaasen akipata picha ya pamoja na  Mzee wa mavumbuzi in town Bruno Mazali to London, Sunday Shomari Mdada kutoka Arusha Tanzania Pamoja na Cheif wa swahilivilla Aboushatry.  

Comments

Popular posts from this blog

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

Uganda Police issue fresh terror alert

  By Chris Kiwawulo, The Police have issued a fresh terror alert against a possible attack on Uganda by four terrorists from Kazakhstan. Police spokesperson Judith Nabakooba “We have received a security notification in form of an orange notice of four terrorists originating from Kazakhstan who are planning to travel to foreign countries in order to commit attacks and participate in hostile acts,” Police spokesperson Judith Nabakooba said in a statement on Monday. Nabakooba named the four active members of radical organizations as; Nassiruauly Kairat, Umurzakov Marat Eskendirovich, Kovtun Denis Valerevich and Mazhibayen Alimzhan Akhlazhanovich. By press time, a search on the international web has not yielded anything on the named persons.Last evening, police said that in collaboration with other security agencies vigilance has been stepped up to avert the terrorists’ evil plans. Police have in the past issu...

Poland’s GROM special services mastermind found dead

Brigadier General Slawomir Petelicki, responsible for the formation of the GROM special services unit in the 1990s, was found dead at his apartment, Saturday, with bullet wounds to the head. SÅ‚awomir Petelicki, 1946-2012. Photo: Archive/PAP/Radek Pietruszka Police spokesman Maciej Karczynski informed that Petelicki’s body was found by his wife in the garage of his Warsaw apartment on Saturday. He was 65. Primary investigations point to suicide as the cause of death. It is expected that prosecutors will decide on an investigation into Petelicki’s death on Monday. After examining the scene of the incident, “the body of General [Petelicki] has been taken to a forensic laboratory, although a post-mortem will probably take place on Monday,” prosecutor Katarzyna Calow-Jaszewska from the Warsaw District Prosecution told the PAP news agency. “He was a tough man, a brilliant soldier and commander,” Colonel Krzysztof Przepiorka, head of the ...