Majeshi ya usalama ya Misri yameondoa
watu katika msikiti mmoja mjini Cairo, baada ya mvutano wa muda mrefu na
wafuasi wa chama cha Muslim Brotherhood. Waandamanaji hao waliokuwa
ndani wametolewa nje ya msikiti, na wengi wamekamatwa, kwa mujibu wa
majeshi ya usalama. (HM)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
Comments