Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia hali
mwenyekiti wa UDP Mh.John Momose Cheyo aliyelazwa katika hospitali ya
Aga Khan jijini Dar es Salaam.Katikati ya Rais na Mama Salma ni Mjukuu
wa Mheshimiwa Cheyo anayejulikana kama Gabriel Cheyo. (Picha Freddy
Maro)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
Comments