WAFANYAKAZI WA KAMPUNI YA MONTAGE WASHEREHEKEA SIKUKUU YA EID NA WANAFUNZI YATIMA WA SHULE YA SEKONDARI YA WAMA – NAKAYAMA
Katibu
wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Daud Nasibu akiongea na
wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya watoto wa kike ambao ni yatima na
wanaoishi katika mazingira hatarishi ya WAMA-Nakayama inayomilikiwa na
taasisi hiyo wakati wa sherehe za Eid Mubarak ziliyofanyika shuleni hapo
jana. huleni hapo jana.
Na: Anna Nkinda – Maelezo
Watanzania
wametakiwa kujenga tabia ya kuwajali watu wenye mahitaji maalum ikiwa
ni pamoja na watoto yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi ili
nao wajione kana kwamba wana wazazi ingawa baadhi yao wamefiwa na wazazi
wao. Wito huo umetolewa jana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya
Montage Tanzania Teddy Mapunda wakati wa sherehe za sikuku ya Eid
Mubarak zilizofanyika katika Shule ya Sekondari ya watoto wa kike ambao
ni yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi ya WAMA-Nakayama
iliyopo kijiji cha Nyamisati wilaya ya Rufiji mkoani Pwani.Mapunda
alisema...M.M
Comments