Gazeti la leo la Jamhuri limechapisha majina ya watu 250 linayowaita ndiyo wafanya biashara ya kuuza “unga” nchini Tanzania.
Orodha hii inaniacha na maswali mengi kwa maana kwa mfano, tuchague tu
eneo la Magomeni, hapo wanaweza wakawepo Maria John au Subira Said ama
Michael Peter ama Juma Abdallah wasiopungua 20, sasa sina uhakika mtu
atawatambuaje kama lengo ni kutaja kujiepusha nao. Manufaa ni iwapo
watuhumiwa watajiona majina yao na kujirudi, vinginevyo, sijaona mantiki
na faida ya orodha hii. Via wavuti.com
Comments