Skip to main content

Dk. Bilal akutana na Rais Mstaafu wa Iran Al-Akbar Hashemi Rafsanjani Mjini Teheran


Makamu wa Rais wa Jamhuri Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, jana alikuwa mmojawapo wa wageni mashuhuri katika sherehe za kumuapisha Rais wa mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Watu wa Iran Mheshimiwa Hassan Rouhani, sherehe iliyofanyika katika makao makuu ya nchi hiyo yaliyopo jijini Tehran.
IMG_3335
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Kiislam ya IRAN Mhe. Al-Akbar Hashemi Rafsanjani
Kabla ya sherehe hiyo ya kuapishwa, Jumamosi Agosti 4, 2013, Mkuu wa Kidini wa nchi hiyo Ayatollah Ali Khamenei alimthibitisha Rais Rouhani na akatumia nafasi hiyo kufafanua kuhusu aina ya mahusianio ambayo Iran inataka kuyaona baina yake na nchi zingine duniani.
IMG_3356
Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza 
na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Kiislam ya 
IRAN Mhe. Al-Akbar Hashemi Rafsanjani
Mheshimiwa Makamu wa Rais alikuwa miongoni mwa viongozi wapatao 55 kutoka nchi mbalimbali walioshiriki sherehe hizi huku vyombo vya habari kutokana nchini Iran vikielezea kuwa tukio la jana kwamba ni la kihistoria kwani Iran haikuwahi kuwa na wageni mashuhuri wengi kiasi hicho katika sherehe zake za kuapisha viongozi wa nchi hiyo.

Sherehe hizo pia zilihudhuriwa na Rais aliyemaliza muda wake, Rais Mahmoud Ahmadinejad.
Akihutubia wananchi wa Iran sambamba na wafutiliaji wa siasa za Iran mara tu baada ya kuapishwa, Rais Rouhani alisema Iran inategemea kuwa nchi za ulimwengu wa kwanza zitatafuta suluhu nayo kwa mazungumzo na siyo kwa kutumia vikwazo. 
Kauli hii alikuwa anaitoa siku moja baada ya seneti ya Marekani kupitisha kwa azimio moja vikwazo zaidi kwa Iran saa chache kabla ya Rais Rouhani kuthibitishwa na Ayatollah Khamenei, Kiongozi mkubwa kabisa na mwenye heshima ya juu katika Iran.

Comments

Popular posts from this blog

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

Uganda Police issue fresh terror alert

  By Chris Kiwawulo, The Police have issued a fresh terror alert against a possible attack on Uganda by four terrorists from Kazakhstan. Police spokesperson Judith Nabakooba “We have received a security notification in form of an orange notice of four terrorists originating from Kazakhstan who are planning to travel to foreign countries in order to commit attacks and participate in hostile acts,” Police spokesperson Judith Nabakooba said in a statement on Monday. Nabakooba named the four active members of radical organizations as; Nassiruauly Kairat, Umurzakov Marat Eskendirovich, Kovtun Denis Valerevich and Mazhibayen Alimzhan Akhlazhanovich. By press time, a search on the international web has not yielded anything on the named persons.Last evening, police said that in collaboration with other security agencies vigilance has been stepped up to avert the terrorists’ evil plans. Police have in the past issu...

Poland’s GROM special services mastermind found dead

Brigadier General Slawomir Petelicki, responsible for the formation of the GROM special services unit in the 1990s, was found dead at his apartment, Saturday, with bullet wounds to the head. SÅ‚awomir Petelicki, 1946-2012. Photo: Archive/PAP/Radek Pietruszka Police spokesman Maciej Karczynski informed that Petelicki’s body was found by his wife in the garage of his Warsaw apartment on Saturday. He was 65. Primary investigations point to suicide as the cause of death. It is expected that prosecutors will decide on an investigation into Petelicki’s death on Monday. After examining the scene of the incident, “the body of General [Petelicki] has been taken to a forensic laboratory, although a post-mortem will probably take place on Monday,” prosecutor Katarzyna Calow-Jaszewska from the Warsaw District Prosecution told the PAP news agency. “He was a tough man, a brilliant soldier and commander,” Colonel Krzysztof Przepiorka, head of the ...