The blue point na wadau mbali mbli inakualika ....Ile siku inawadia na punde
imekaribia yenye shuguli nzito na ya kipekee yaani nyamachoma huku tukiangalia Dunia
kupitia Dstv ni jumapili ya Tarehe 25.11.2012 kuanzia saa 12:00 mchana njoo wewe
mwenziao na wote ... mtajihudumia wenyewe .. local beer 2.00 @ 8,000
kwa 1' kg , karibu sana endelea kutembelea kila mara www.machibya.blogspot.com ili kukujuza habari
hizi.
Contact:
Francis A.Mrema.
P.o Box 63094,
Dar Es Salaam.
TANZANIA.
+255 (o) 713 225578
+255 (o) 767 225578
Email:faam76@yahoo.com
Comments