
NISHA ambaye ni msanii wa filamu hapa nchini ameamua kuvunja ukimya na kusimulia
kinagaubaga juu ya ajali iliyomtokea majuzi wakati akitoka location na kusema
kuwa kabla ya kupata ajali alikua mzima kabisa na aliweza
kufanya kazi zake zote locationa mpaka mida ya saa saba za usiku...
"Wakati anarudi nyumbani anasema alifika sehemu akajisikia kizunguzungu
na kuona kiza baada ya hapo ndipo aliposhtukia akiingia porina na gari
kupinduka na kupata ajali hiyo".....NISHA
Nsha
anadai kuwa hataki kulihusisha tukio hilo na kitu chochote bali ni mipango
ya mwenyezi mungu na amesema kwa sasa
hali yake si nzuri...
Comments