
Kwa
kawaida jarida lenye title ‘Men of the Year’ lingekuwa na picha ya
mwanaume wa shoka akiwa katika pozi lake, lakini picha ya Queen Rihanna
akiwa mtupu inaonekana kuvuka hii mipaka ya mawazo ya kijinsia kulipamba
jarada la jarida hilo kwa pozi la kichokozi.
Katika
hiyo picha RiRi anaonekana akiwa amepozi akiwa amevaa leather jacket
kwa juu na kuacha sehemu nyingine zote bila pamba ya aina yoyote huku
mkono wake ukipoz ‘somewhere.
Kwa
kuwa katika hiyo page ya juu ya jarida hilo la ‘Men of The Year’ ‘the
Diamond singer’ amesababisha liongezewe sentensi kwenye mabano na
kusomeka ‘Man of the Year (And One Hot Woman),...
Comments