Skip to main content

KAMA NI WEWE UTAFANYAJE?


Umekwenda mbuga za wanyama kutalii,ukagida pombe zako weee baada ya masaa kadhaa ukakata network kichwani na ulipopata fahamu ulijikuta katikati ya hawa jamaa umelala nao,je kama wewe ungefanyaje?

Comments