Mshambuliaji
wa timu ya Kilimajaro Stars, Simon Msuva akimfungisha tela beki wa timu
ya taifa ya Sudan, Faris Abdallah wakati wa mechi yao ya Kundi B la
michuano ya Kombe la Chalenji kwenye Uwanja wa Namboole mjini Kampala
jana jioni.Kwa hisani ya www.fullshangweblog.com
Comments