Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Cheti cha Udaktari
wa Public Health
(Honoris Causa),
kufuatia Shahada aliyotunukiwa na Chuo hicho mwaka 2010 kwa kutambua mchango
wake katika kuendeleza Sekta ya Afya nchini. Sherehe hiyo fupi ilifanyika leo
Novermba 23, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya kumbukumbu na Waziri wa Ardhi Prof
Anna Tibaijuka, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt Hussein Mwinyi na viongozi
wa Chuo cha Afya na
Sayansi Shirikishi Muhimbili baada ya kukabidhiwa
Cheti cha Udaktari
wa Public Health
(Honoris Causa),
kufuatia Shahada aliyotunukiwa na Chuo hicho mwaka 2010 kwa Kutambua mchango wa
Rais Kikwete katika kuendeleza Sekta ya Afya nchini leo Novermba 23, 2012 Ikulu
jijini Dar es salaam.
PICHA ZOTE NA IKULU
Comments