Klabu ya soka ya Manchester United leo imekubali kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa klabu ya Newcastle United.
Bao
pekee katika mchezo huo wa ligi kuu ya soka nchini England uliomalizika
jana jioni kwenye uwanja wa Saint James Park limefungwa na Matt Ritchie
dakika ya 65.
Kwa
upande wa kocha wa Manchester United Jose Mourinho ameendelea kuwa na
rekodi mbaya kwenye uwanja huo akiwa hajawahi kushinda mchezo wowote wa
ligi.
Mourinho
akiwa na Chelsea na Manchester United kwa sasa amefanikiwa kushinda
mechi mbili tu kati ya tisa kwenye uwanja wa St. James Park huku mechi
hizo mbili zikiwa ni za kombe la ligi (EFL CUP).
Matokeo ya yanaiacha Manchester United katika nafasi ya pili ikiwa na alama 56 ikiwaacha vinara
Comments