Neymar aliteguka kifundo cha mguu wa kulia kunako dakika ya 76 ya mchezo na kutoka nje huku akibubujikwa na machozi.
Bado taarifa zaidi za kitabibu hazijatoka kutoka klabu hapo lakini huenda akakaa nje kuanzia wiki tatu, mwezi mmoja na kuendelea.
Kwa hesabu hizo Neymar ana asilimia 60 kuukosa mchezo huo wa marudiano utakaochezwa Machi 06 mwaka huu.

Wakati PSG wakiwa njia panda juu ya mchezaji wao hali ipo tofauti kwa klabu ya Barcelona ambao hao tayari wameshapata pigo kwa kumkosa beki wao wa kulia, Nélson Semedo kwa mwezi mmoja baada ya kuumia kwenye mchezo dhidi ya Girona.
Comments