
Hata hivyo, hakuna aliyebahatika kupona katika ajali hiyo. Abiria wote 65 pampoja na wahudumu 6 wamepoteza maisha. Ndege hiyo ilianguka maeneo yenye barafu katika vitongoji vya Mji Mkuu Moscow dakika chache tu baada ya kuondoka kwenye uwanja wa ndege wa Domodedovo.


Comments