Kikosi cha Simba kipo safarini kutoka mkoani Shinyanga kuelekea
Mwanza ambapo usiku saa 1:00 kitaondoka jijini Mwanza kurejea jijini Dar
es Salaam kwa usafiri wa ndege kupitia Shirika la ATCL.
Simba SC inatarajia kurejea Dar es Salaam huku ikiambulia sare ya
magoli 2 – 2 katika mchezo wake wa mwisho dhidi ya Mwadui FC iliyocheza
hapo jana.
Wakati kikosi hicho mpaka sasa kinaongoza katika msimamo wa ligi kuu
kwa kuwa na jumla ya pointi 42 huku kikiwa kimecheza jumla ya michezo
18.

Comments