Skip to main content

Rais Mwinyi kumbe ni dam dam na Msimbazi!!


Simba imecheza na Gendarmarie mechi ya awali ya Kombe la Shirikisho na kushinda mabao 4-0, lakini katika kipindi chote cha mchezo, yapo mambo matano muhimu unatakiwa kuyajua.


Rais Mwinyi awa kivutio

Awali, haikufahamika wazi kwamba Rais wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi ni shabiki wa Simba lakini katika mchezo wa Simba na Gendarmarie ni kama ilijidhihirisha wazi kwamba yuko upande  huo wa Msimbazi.

Na hii ni baada ya kualikwa kuwa mgeni rasmi wa mchezo baada ya kuwa kimpya kwa kipindi kirefu  na ndani ya suti yake, alikuwa amevalia tisheti nyeupe yenye ufito mwekundu inayofanana kabisa na zile jezi za Simba.

Kichuya kuvaa hereni

Haijawahi kutokea au kama iliwahi kuonekana ni mara chache kwani mshambuliaji wa Simba, Shiza Kichuya aliingia kucheza mchezo huo akiwa amevalia urembo masikioni.

Kichuya alivaa urembo huo unaofanana kabisa na hereni zile zinazovaliwa masikioni na wanawake na baadhi ya wanaume na yeye alibandika katika masikio yake yote mawili.

Walijidondosha sana

Licha ya Gendarmarie kuchapwa mabao manne kama si kujidondosha, huenda wangechapwa zaidi ya hayo au wao wangepata ya kufutia machozi.

Wachezaji wa kikosi hicho walikuwa kivutio kutokana na kitendo chao cha kujidondosha mara kwa mara na kusababisha mpira usimame kila baada ya dakika chache.

Hata hivyo, staili hiyo huenda walifikiri ni janja yao ya kupunguza idadi ya mabao kwani hata baada ya mchezo, kocha wao,

Mrundi Mvuyekure Issa aliweka wazi kuwa kabla ya kuanza mchezo walidhani wangepigwa mabao mengi zaidi ya hayo lakini kadri ya mchezo ulivyokwenda waliona tofauti.

Simba waanza na staili mpya

Kitaalamu timu zote zinatakiwa kila zinapomaliza kucheza mechi, zifanye mazoezi ya kutuliza misuli na sasa Simba imeanza staili hiyo ambayo wapinzani wao wa jadi Yanga walishaanza kitambo.

Simba waliitambulisha staili hiyo mara baada ya mchezo huo kumalizika ambapo walifanya mazoezi ya kukimbia kuuzunguka uwanja na baadaye walinyoosha misuli wakatoka.

Penalti ya Gendarmarie

 Tukio la penalti ambalo Gendarmarie lingewakomboa na kupata bao la kufutia machozi, lakini cha kushangaza, uwezo wa mlinda mlango wa Simba, Aishi Manula aliyekuwa amejaa golini, uliwafanya wakose penalti hiyo.

Aishi alipangua penalti ya Gendarmarie iliyopigwa na Houssein Megane  na kuwafanya watoke uwanjani hapo na kwenda kwao Djibouti watupu.

Comments

Popular posts from this blog

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...

Uganda Police issue fresh terror alert

  By Chris Kiwawulo, The Police have issued a fresh terror alert against a possible attack on Uganda by four terrorists from Kazakhstan. Police spokesperson Judith Nabakooba “We have received a security notification in form of an orange notice of four terrorists originating from Kazakhstan who are planning to travel to foreign countries in order to commit attacks and participate in hostile acts,” Police spokesperson Judith Nabakooba said in a statement on Monday. Nabakooba named the four active members of radical organizations as; Nassiruauly Kairat, Umurzakov Marat Eskendirovich, Kovtun Denis Valerevich and Mazhibayen Alimzhan Akhlazhanovich. By press time, a search on the international web has not yielded anything on the named persons.Last evening, police said that in collaboration with other security agencies vigilance has been stepped up to avert the terrorists’ evil plans. Police have in the past issu...

Poland’s GROM special services mastermind found dead

Brigadier General Slawomir Petelicki, responsible for the formation of the GROM special services unit in the 1990s, was found dead at his apartment, Saturday, with bullet wounds to the head. SÅ‚awomir Petelicki, 1946-2012. Photo: Archive/PAP/Radek Pietruszka Police spokesman Maciej Karczynski informed that Petelicki’s body was found by his wife in the garage of his Warsaw apartment on Saturday. He was 65. Primary investigations point to suicide as the cause of death. It is expected that prosecutors will decide on an investigation into Petelicki’s death on Monday. After examining the scene of the incident, “the body of General [Petelicki] has been taken to a forensic laboratory, although a post-mortem will probably take place on Monday,” prosecutor Katarzyna Calow-Jaszewska from the Warsaw District Prosecution told the PAP news agency. “He was a tough man, a brilliant soldier and commander,” Colonel Krzysztof Przepiorka, head of the ...