Afande Sele The'King:
ASEMA KUWA: "Leo nilijikuta nikiwekwa
chini ya ulinzi wa nyumbani na huyu Princess mdogo ASANTESANAA, baada
ya mama yake (ASHA) & dada yake princess TUNDAJEMA (TJ) kutoka
kwenda dukani kufanya manunuzi ya mwisho ya mahitaji ya shule ya TJ, kwa
kuwa anaripoti shuleni pale Kunduchi Girls Islamic high school, hivyo
ilibidi nibebe majukumu haya makubwa na mageni "mashikolo maggeni"....
kwa wakati fulani, big up kwa akina mama wote duniani kwa kutuzaa na
kutulea, na zaidi katika umri mdogo kama huu.. hard work pays .. life
goes on".
Comments