Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Dk Ali Mohamed
Shein,akitoa salamu za kuukaribisha Mwaka mpya wa 2013,kwa wananchi wa
Zanzibar na Watanzania wote kwa ujumla,pia aliwasihi wananchi kuendela
kushirikiana na Serikali yao katika kuendeleza mipando mbali mbali ya maendeleo,na kuwataka kuwa walinzi wa rasilimali pia kuzingatia taratibu za kisheria, kwa kuwa
na elimu bora ya rasilimali hizo. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Comments