Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya
Zogowale, iliyopo Wilayani Kibaha mkoani Pwani,Tatu Mwamballa akibadilishana hati za makubalkino na Ofisa Ubalozi wa Japan nchini Tanzania, Kazuyoshi Matsunaga baada ya kutiliana saini Mkataba wa Makubaliano ya kuisaidia shule
hiyo kiasi cha Fedha Dola za Kimarekani Milioni 122,614 kwaajili ya ujenzi wa
Mabweni ya Wanafunzi wa kike shuleni hapo.
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya
Zogowale, iliyopo Wilayani Kibaha mkoani Pwani, Tatu Mwamballa (kushoto) Ofisa
wa Balozi wa Japan nchini Tanzania, Kazuyoshi Matsunaga na Mkuu wa Wilaya ya
Kibaha, Halima Kihemba wakijadili jambo wakati wa kutiliana saini Mkataba wa
Makubaliano ya kuisaidia shule hiyo kiasi cha Fedha Dola za Kimarekani Milioni
122,614 kwaajili ya ujenzi wa Mabweni ya Wanafunzi wa kike shuleni hapo
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya
Zogowale, iliyopo Wilayani Kibaha mkoani Pwani,Tatu Mwamballa akitiliana saiani hati za makubalkino na Ofisa Ubalozi wa Japan nchini Tanzania, Kazuyoshi Matsunaga Mkataba wa Makubaliano ya kuisaidia shule
hiyo kiasi cha Fedha Dola za Kimarekani Milioni 122,614 kwaajili ya ujenzi wa
Mabweni ya Wanafunzi wa kike shuleni hapo.
Kazuyoshi Matsunaga akizungumza na baadhi ya
wananchi wa Kijiji cha Zogowale
Mwalimu
Mkuu
wa Shule ya Sekondari ya Zogowale, iliyopo Wilayani Kibaha mkoani
Pwani,Tatu Mwamballa na Ofisa Ubalozi wa Japan nchini Tanzania,
Kazuyoshi
Matsunaga wakipiga picha na baadhi ya wanafunzi ya Wshule ya Zogowale
baada ya kutiliana saini Mkataba wa Makubaliano ya kuisaidia
shule hiyo kiasi cha Fedha Dola za Kimarekani Milioni 122,614 kwaajili
ya
ujenzi wa Mabweni ya Wanafunzi wa kike shuleni hapo.Source Mjengwa.
Comments