Rais wa Wapalestina, Mahmoud Abbas, aliwaambia wafuasi maelfu katika Ufukwe wa Magharibi "tuna taifa sasa".
"Tulikwenda New York, tumebeba ujumbe wa uchungu na ndoto ya watu wetu
kukabidhi kwa ulimwengu ujumbe wa haki na uhuru. Ulimwengu umetoa kauli
kwa sauti kubwa.
Umesema: ndio liwepo taifa la Palestina. Haki za Wapalestina, ndio. Uhuru wa Palestina, naam.
Uhasama, la. Makaazi ya walowezi, hapana. Kuikalia Palestina, sivyo"
BBC SWAHILI.
Comments