Wafuasi wa Lema wakishangilia barabarani wakati Mbunge huyo akipita.
Mbwembwe za waendesha pikipiki wengine ziliwashinda na kuanza kuanguaka.
Furaha hiyo ilikuwa kwa kila aliye Mwanachadema
Skafu na vitru mbalimbali vilivyo na alama ya CHadema viliuzwa jijini Arusha kwa wingi.
Mke wa Mbunge Godbless Lema akiwa kwenye gari pamoja na mtoto wao wakati wa mapokezi hayo.
Lema Arusha anafananishwa na Barack Obama
Watu walining'inia katika magari bila hofu
Huyu na e'eti' alikua anachukua kumbukumbu za Video....
Lema akiwa na Mbunge wa Arumeru Mashuari CHADEMA, Joshua Nasari.
Na Mroki Mroki, Arusha
MAPOKEZI ya Kihistoria katika jiji la Arusha yamefanyika leo
wakati wafuasi, Mbunge wa Arusha Mjini kwa Tiketi ya Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema walipo miminika kwa Wingi
kuanzia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) hadi katika Viwanja
vya Kilombero mjini hapa alipohutumia maelfu ya wana CHADEMA Arusha Mjini.
Mapokezi hayo yamefanyika wakati Godbless Lema alipokuwa
akirejea mjini Arusha akitokea jijini Dar es Salaam kusikiliza hukumu ya Rufani
ya Keshi yake ya Kuvuliwa Ubunge iliyotolewa maamuzi ya kumrtejeshea Ubunge
wake Desemba 21,2012.
Comments