Bendi ya muziki ya Ngoma Africa aka FFU inatoa Salam za Heri ya mwaka
mpya 2013 kwa wadau wote popote pale walipo Mwaka 2013 uwe wa
Amani,Upendo mafanikio kwa wote,mwaka mpya uwe na mtazamo mpya kwetu
sote, msimamo wa kuziba nyufa na mmomonyoko uliopo katika jamii yetu ya
watanzania. Wito wa Ngoma Africa 2013 ni vita vya kuziba nyufa na
kuimarisha upendo na mshikamano na umoja wa kijamii katika taifa letu
,ambao ndio msingi pekee wa maisha bora kwa kila mtanzania ! Happy New
Year 2013 furahia mwaka mpya namuziki hapa http://www.ngomaafrica.com au www.ngoma-africa.com
Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was...
Comments