Katika shindano hilo wanashiriki warembo kutoka mataifa mbalimbali ya
ukanda wa nchi za Afrika Mashariki na na baadhi ya nchi jirani na ukanda
h ambapo mshindi wa shindano hilo anatarajiwa kujinyakulia zawadi zenye
thamani ya dola za Kimarekani elfu thelathini 30,000.
Kushoto ni Guetano Kagwa ambaye atakuwa MC wa shindano hilo na kulia ni
Serge Nkurunzinza Mwakilishi wa Miss East Africa nchini Burundi .
Guetano Kagwa ambaye ni MCwa shindano hilo akizungumza na waandishi wa
habari katika mkutano huo uliofanyika leo jijini Dar es salaam, kulia ni
Rena Calist Mkurugenzi wa Miss East Africa.
Warembo wanaoshiriki katika shindano hilo wakiwa katika mkutano na waandishi wa habari leo.
Warembo wanaoshiriki katika shindano hilo wakiwa katika mkutano na waandishi wa habari leo.
Kwataswira zaidi endelea kutembelea FatherKidevu.
Comments