Skip to main content

Gari Moshi laanza safari

Dk. Mwakyembe Nimeona Kazi Yako Leo Jijini Mwanza 

 Gari moshi likikaribia kufika stesheni ya Mwanza

Jengo la Shirika la Reli Mwanza
Tangazo likionyesha kuanza kwa safari za gari moshi

Abiria wakishuka baada ya gari moshi kufika steshen ya mwanza

Raia wa kigeni nao walikuwa miongoni mwa abiria waliowasili na gari moshi

Waandishi wa habari wakizungumza na naibu waziri wa uchukuzi Dk. Charles Tizeba. Kwa hisani ya www. Mjengwa. blogspot.com

Comments