Wakwanza kutoka kushoto ni mmiliki wa Blog hii Machibya nikiwa na mchezaji mahiri wa kandanda Henry Joseph jana usiku nje ya ukumbi wa Mzalendo linapo polomoshwa Disco la Flava Nite kila jumamosi.
Pozi la picha mie na mdau wa soko jana kwa raha tele.
KLABU ya Simba ya Dar es Salaam iliweza kupokea donge la fedha kutoka klabu ya
Molde FK ya Norway pale ilipo muuza Henry Joseph ambaye kwa sasa bado anakipiga kwenye Klabu hiyo.
Molde FK ya Norway pale ilipo muuza Henry Joseph ambaye kwa sasa bado anakipiga kwenye Klabu hiyo.
Comments