Mataifa mbalimbali duniani
yameghadhabishwa na jeshi la Mali kwa kumkamata na kumlazimisha waziri
Mkuu wa nchi hiyo Cheick Modibo Diarra kujiuzulu.
Marekani imesema kukamtwa kwa bwana
Bofya
Cheick Modibo Diarra ni pigo kwa utawala wa kidemokrasi nchini Mali.
Kadhalika Umoja wa Mataifa umeitishia kuiwekea
Mali vikwazo nayo serikali ya Ufaransa iimesema kuwa panahitajika jeshi
ambalo litakaloleta uthabiti katika taifa hilo.
Rais wa Mali sasa amemteua Django Sissoko kuwa waziri Mku mpya.
Tofauti na Jeshi, Bwana Diarra alikuwa
amependekeza kuhusisha jeshi la Afrika Magharibi ili kukabiliana na
wapiganaji wa kiislamu wanaodhibiti sehemu ya kaskazini.Source www.bbc.co.uk.
Comments