Amina
Shaaban katibu mtendani wa tume ya mipango Zanzibar na Mh. Bernadeta Mushashu
(kulia) mbunge wa bunge la Afrika, ambae pia ni mbunge viti maalum ccm Kagera
na ni mjumbe wa kamati ya maliasili na mazingira wakifuatilia kwa makini
mawasilisho.
Rais wa COP18 na wenyeviti wa
kamati mbalimbali katika mkutano wa mawasilisho ya nchi mbalimbali katika siku
ya mwisho ya mkutano wa nchi wanachama duniani wa mkataba wa mabadiliko ya
tabia nchi mjini Doha na majadiliano mengine yakiendelea katika kumbi tofauti.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa
kwanza wa Rais Zanziar dkt Shajak Omary (katikati kulia) na Naibu katibu Mkuu
wizara ya kilimo Zanziabar dkt Assad (kushoto) wakifuatilia mawasilisho.
Baadhi ya washiia mkutano huop mjini Doha.(Picha zote na Evelyn Mkokoi)
Comments