Anaitwa Mussa Yaguluva ni muigizaji na muongozaji wafilm za kibongo
napia ni muandishi wa mswaada (Script) wa film za kibongo.
picha alizo wahi kuziobngoza na kuziandikaVituko (Comedy)AngelNako na Chalo Ikwizu.
Kwa sasa vile vivile ni muajiriwa kwenye kiwanda cha wana lamba lamba ambacho mmiliki wake ni yule mwenye klabu ya Azam ya Jijini Dar es Salaam .
Comments