Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride la maafisa wanafunzi katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli, Arusha, leo Jumamosi Desemba 15, 2012 kabla ya kuwakutunuku kamisheni maafisa hao 192 waliohitimu chuoni hapo.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa jukwaa kuuna maafisa wakuu wa jeshi
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe
kufungua rasmi kamtaba ya kisasa katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi
Monduli, Arusha, leo Jumamosi Desemba 15, 2012 baada ya kuwakutunuku
kamisheni maafisa hao 192 waliohitimu chuoni hapo.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete
na mkewe Mama Salma Kikwete wakitembelea bweni namba 15 ambamo Rais
Kikwete alikuwa akiishi wakati akiwa mafunzoni hapo katika Chuo Cha
Mafunzo ya Kijeshi Monduli, Arusha, leo Jumamosi Desemba 15, 2012 kabla
ya kuwakutunuku kamisheni maafisa hao 192 waliohitimu chuoni hapo.
..Mheshimiwa Rais naomba
kukupiga picha msichana Shalom anamwambia Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya
Mrisho Kikwete katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli, Arusha, leo
Jumamosi Desemba 15, 2012 baada ya kuwakutunuku kamisheni maafisa hao
192 waliohitimu chuoni hapo.
PICHA NA IKULU
Comments