Baadhi ya Wageni waalikwa waliohudhuria katika
hafla ya uzinduzi wa Bodi hizo Dec,17, 2012 jijini Dar es salaam ,
ambapo mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli (hayupo
pichani)
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akiongea wakati
akizindua Bodi ya Mfuko wa Barabara na Bodi ya Wakala wa Barabara
(TANROADS) Dec 17,12,2012 jijini dar es Salaam
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli (kulia) akimpa
zawadi Mjumbe wa Bodi ya mfuko wa Barabara aliemaliza muda wake kwa
mujibu wa sheria za Bodi Mhandisi Omar Chambo (kushoto) ,Waziri Magufuli
amemshukuru Mhandisi Omar Chambo. ambae pia ni Katibu Mkuu wa Wizara
ya Uchukuzi pamoja na wajumbe wengine waliomaliza muda wao kwa mchango
mkubwa walioutoa katika mfukona kuleta ufanisi
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli (kushoto)
akimpongeza Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Barabara Dr, James Wanyancha
wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bodi ya mfuko wa Barabara na Bodi ya
Wakala wa Bararabra (TANROADS) jijini Dar es salaam , Dec, 17, 2012.
(Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO).
Comments