Skip to main content

Posts

Showing posts from December, 2012

Heri Ya Mwaka Mpya 2013 Kutoka Ngoma Africa Band - FFU !

  Bendi ya muziki ya  Ngoma Africa aka FFU inatoa Salam za Heri ya mwaka mpya 2013 kwa wadau wote popote pale walipo Mwaka 2013 uwe wa Amani,Upendo mafanikio kwa wote,mwaka mpya uwe na mtazamo mpya kwetu sote, msimamo wa kuziba nyufa na mmomonyoko uliopo katika jamii yetu ya watanzania. Wito wa Ngoma Africa 2013 ni vita vya kuziba nyufa na kuimarisha upendo na mshikamano na umoja wa kijamii katika taifa letu ,ambao ndio msingi pekee wa maisha bora kwa kila mtanzania ! Happy New Year 2013  furahia mwaka mpya namuziki hapa   http://www.ngomaafrica.com  au  www.ngoma-africa.com

Salamu Za Kuukabirisha Mwaka Mpya Wa 2013 Kutoka Kwa Dk. Shein

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Dk Ali Mohamed Shein,akitoa salamu za kuukaribisha Mwaka mpya wa 2013,kwa wananchi wa Zanzibar na Watanzania wote kwa ujumla,pia aliwasihi wananchi kuendela kushirikiana   na Serikali yao katika kuendeleza mipando mbali mbali ya maendeleo,na kuwataka kuwa walinzi wa rasilimali pia kuzingatia   taratibu za kisheria, kwa kuwa na elimu bora ya rasilimali hizo.  [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]  [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Utamtaka Tu .. Msome

  Nicki Minaj was spotted bringing the heat to a cold Christmas in New York recently as she stepped out for Hot 97′s Christmas Extravaganza at Webster Hall in New York.

Taswira nyingi za al-Shabaab nchini Kenya

Na Bosire Boniface, Garissa Jamii ya Kisomali nchini Kenya imelaumiwa sana kwa mashambulizi ya al-Shabaab, lakini wachambuzi wa masuala ya usalama wanaonya kwamba kuwasingizia Wasomali kunaongeza hatari ya mashambulizi ya baadaye kwani wanamgambo wa jamii nyingine wanaweza kufanya shughuli zao za kigaidi bila kufahamika. Raia wa Uswisi Magd Najjar (kulia) akifikishwa mahakamani mjini Nairobi kushitakiwa rasmi kwa kuwa na mafungamano na al-Shabaab. Najjar ni mmoja wa washukiwa wengi wa al-Shabaab wenye utaifa wa nchi mbalimbali wanaodhaniwa wapo Kenya. [Simon Maina/AFP] Aden Duale, mbunge wa jimbo la Dujis, alisema Wakenya kwanza huwashuku watu kutoka jamii ya Kisomali popote panapofanywa mashambulizi nchini Kenya. "Mashambulizi hayo kawaida huleta dhana potofu na kuyahusisha na jamii ya Kisomali, ingawa hakuna mtu aliyeandikwa usoni pake kwamba ni mwanachama (wa kundi la kigaidi). Kuwailenga jamii ya Kisomali ni kutafuta majina na chuki dhidi...

Woman charged with hate murder in NY subway shove death

Erika Menendez was charged in the death of Sunando Sen, an immigrant from India who was crushed by a No. 7 train in Queens on Thursday night, the second time this month a commuter has died in such a nightmarish fashion. (AFP) By THE ASSOCIATED PRESS. NEW YORK A woman who told police she shoved a man to his death off a subway platform into the path of a train because she has hated Muslims since the Sept. 11, 2001, terrorist attacks and thought he was one was charged Saturday with murder as a hate crime, prosecutors said. Erika Menendez was charged in the death of Sunando Sen, an immigrant from India who was crushed by a No. 7 train in Queens on Thursday night, the second time this month a commuter has died in such a nightmarish fashion. Menendez, 31, was awaiting arraignment on the charge Saturday evening, Queens District Attorney Richard A. Brown said. She could face 25 years to life in prison if convicted. She was in custody and couldn’t be reache...

Ufaransa yakataa kumsaidia Rais Bozize

Ufaransa imekataa ombi la rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati Francois Bozize kusaidia kuwarudisha nyuma waasi wanaotishia kuiangusha serikali yake, huku Marekani ikiamua kufunga ubalozi wake nchini humo. Wasiwasi umezidi kutanda nchini humo wakati muungano wa waasi hao unaojulikana kama Seleka ukizidi kusonga mbele kuelekea mji mkuu Bangui, kwa madai kuwa serikali imekiuka makubaliano ya amani yaliyosainiwa mwaka 2007. Lakini rais Francois Hollande wa Ufaransa amekataa ombi la rais Francois Bozize akisema kuwa muda wa kufanya hivyo ulikwisha. Marekani yaamua kufunga ubalozi wake Marekani kwa upande wake imetangaza jana Alhamisi kuwa inasitisha shughuli zote katika ubalozi wake mjini Bangui, na kwamba balozi wake na wafanyakazi wengine wa ubalozi huo walikuwa wameondoka nchini humo.  Msemaji wa wizara ya mambo ya kigeni ya Marekani, Patrick Ventrell, alisema uamuzi huo ulichukuliwa kwa kuhofia usalama wa wafanyakazi hao, na kwamba hatua hiyo haihusi...

WHITNEY HOUSTON ALIUAWA NA GENGE LA WAUZA UNGA

Medical examiner ruled she accidentally drowned in a hotel bathtub She had taken cocktail of cocaine, marijuana and prescription drugs Paul Huebl believes troubled star was targeted by 'high powered' dealers Says they sent thugs to collect $1.5million debt she owed for drugs He claims marks on her body look like defensive wounds Whitney Houston was murdered by drug dealers and a new surveillance video proves it, a Hollywood private investigator is claiming Paul Huebl says he has turned over evidence to the FBI that shows the 48-year-old singer was killed over a drug debt in February. The medical examiner ruled that she drowned in her bathtub at the Beverly Hilton hotel after taking a cocktail of cocaine, marijuana and several legal drugs. The National Enquirer is reporting that Huebl believes the troubled star was targeted by several 'high powered drug dealers who sent thugs to collect a huge debt she owed for drugs.' She owed $1.5milli...

Mkutano Wa Chama Cha Waandishi Wa Habari Za Michezo (TASWA) Wafanyika Bagamoyo Leo

Mwenyekiti wa kamati ya Kusaidia timu ya Taifa ya Vijana Serengeti Boys Bw. Ridhiwan Kikwete  akifungua mkutano mkuu wa chama cha waandishi wa habari za michezo TASWA unaofanyika kwenye Hoteli ya Kiromo View Bagamoyo mkoani Pwani ambao unajadili mambo mbalimbali ya Maendeleo na changamoto zinazokabili chama hicho. Waanishi wa habari za michezo ambao ni wanachama kutoka vyombo mbalimbali nchini wanahudhuria mkutano huo ambao ni wa siku moja. Mwenyekiti wa Chama cha waandishi wa habari za michezo TASWA Bw. Juma Pinto akimkaribisha mgeni rasmi ili kufungua mkutano huo leo asubuhi unaofanyika kwenye  hoteli ya Kiromo View Bagamoyo.   Katibu wa Chama cha Waandishi wa habari za michezo TASWA Bw. Amir Mhando akizungumza katika mkutano huo, kutoka kulia ni Makamu Mwenyekiti wa TASWA Maulid Kitenge, Mwenyekiti Juma Pinto, Mgeni rasmi Ridhiwan Kikwete na kushoto ni George John Katibu Msaidizi.   Mtaalam wa SACCOS kutoka Manispaa ya Ilala Bw. ...

PUFFY DIDDY ALA BATA NA WANAWE KWENYE YATCH

He says there is only one Diddy man. But there were plenty of Diddy children as the popular rapper enjoyed a festive break in the Caribbean on Boxing Day. The family man looked like he was having a great time as he took three of his brood onto his luxurious yacht in St Barts. The 43-year-old looked full of festive cheer as he marched the youngsters towards the luxury vessel, which is named Oasis. And the rapper, real name Sean Combs, managed to look effortlessly stylish in a navy T-shirt, baggy trousers, black socks and flip-flops. To top off his look, and to look even more intelligent than usual, he also wore a trendy pair of tinted spectacles. Earlier the hip-hop favourite, who previously went by the moniker of Puff Daddy, was spotted indulging himself by sipping champagne and shopping for jewellery. He chatted with Madonna's manager Guy Oseary as he marched past a crowd of awe-struck holidaymakers. But he effortlessly switched modes from Diddy to ...

KLABU ZA LIGI KUU ZAITISHIA NYAU TRA

Klabu 14 ambazo timu zao zinashiriki Ligi Kuu ya Vodacom zimesema hazitacheza hatua ya pili ya Ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Januari 26 mwakani hadi zitakaporejeshewa fedha zao zilizochukuliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kutoka kwenye moja ya akaunti za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF). Novemba 23 mwaka huu, TRA kwa uwezo ilionao kisheria iliielekeza benki ya NMB kuilipa fedha hizo (sh. 157,407,968) kutoka kwenye moja ya akaunti za TFF ikiwa ni Kodi ya Lipa Kama Unavyopata (PAYE) kutoka kwenye mishahara ya waliokuwa makocha wa timu za Taifa. Serikali ndiyo inayolipa mishahara ya makocha hao moja kwa moja kwenye akaunti zao, lakini ilikuwa haikati PAYE kutoka kwenye mishahara hiyo, hivyo malimbikizo kufikia sh. 157,407,968. TFF bado inaendelea na mazungumzo na pande husika (Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kwa upande mmoja na TRA kwa upande mwingine) ili fedha hizo zirejeshwe kwani zilitolewa na mdhamini wa Ligi Kuu (kampuni y...

Revealed: Manchester United's Robin van Persie's T-shirt goal tribute was to 'close friend' who died 24 hours before game - as Twitter goes mad speculating over who Tchuna was

Who is it? Van Persie lifting his club shirt to reveal a message which has sent the rumour mill into overdrive After netting his side's second and final goal in Manchester United's 2-0 home victory against West Bromwich Albion, star striker Robin van Persie revealed a tribute on a T-shirt. In the hours after the game, mystery surrounded who the message 'R.I.P. Tchuna We Will Never Forget You' was relating to with a number of social networking websites and news sites and football forums speculating their own theories. Manchester United Foot ball Club have since contacted Mail Online saying that the message related to a close friend of the £24m man who had died 24-hours before the game. We will remember: After scoring a fine individual effort for Manchester United, van Persie reveals his heartfelt message Sky Sports have also reported the same line. However, it appears Twitter and Facebook users refuse to be convinced by that inf...

Magazeti Leo Jumapili

  kwa hisani ya mjengwa.

Kikwete visits injured priest at MOI

By MASEMBE TAMBWE President Jakaya Kikwete visited the Zanzibar Catholic Priest, Father Ambrose Mkenda – a day after he underwent a successful surgery on Friday to remove two bullets from his body. Kikwete visits injured priest at MOI The president is the first high profile leader to visit the priest since he was referred to Muhimbili Orthopaedic Institute (MOI) on Wednesday from Muhimbili National Hospital (MNH). Doctors at Muhimbili Orthopaedic Institute (MOI) successfully operated on the Zanzibar Catholic Diocese’s priest, Father Ambrose Mkenda and removed two bullets that had lodged in his body. The MOI Information Officer, Mr Almasi Jumaa told the “Sunday News” in Dar es Salaam that the priest was operated on Friday. “I have just come from seeing the patient after a successful surgery procedure and he is progressing very steadily,” he said. Father Mkenda was on Tuesday seriously injured by two unidentified men who shot at him twice, on the ch...

Hatimaye mazishi ya Mwanafunzi wa Udaktari aliyebakwa yafanyika nchini India

Na Flora Martin Mwano Hatimaye mazishi ya mwanafunzi wa Udaktari aliyefariki jana jumamosi katika hospitali ya Mount Elizabeth nchini Singapore yamefanyika huko India. Juhudi za Madaktari kuokoa maisha yake zilishindikana kutokana na kuathiriwa zaidi na unyama aliofanyiwa na kundi la wanaume sita katikati ya mwezi huu. Maombolezo nchini India Mwili wa mwanamke huyo aliyekuwa na umri wa miaka ishirini na mitatu tayari uliwasili nyumbani mapema leo asubuhi na kupokelewa kwa heshima kubwa ambapo Waziri Mkuu wa India Manmohan Singh naye alikuwepo katika mapokezi hayo. Maelfu ya raia nchini India jana jumamosi waliendelea kukusanyika katika mji mkuu New Delhi wakiwa na mishumaa kama ishara ya maombolezo ya kifo cha mwanafunzi huyo aliyebakwa ndani ya basi katikati ya mwezi huu. Kwa takribani majuma mawili kumekuwa na ghasia kubwa nchini humo waandamanaji wakipinga unyanyasaji dhidi ya wanawake na kutaka adhabu ya kifo itekelezwe kwa wanaotuhumiwa kwa ...

Woman charged with hate murder in NY subway shove death

Erika Menendez was charged in the death of Sunando Sen, an immigrant from India who was crushed by a No. 7 train in Queens on Thursday night, the second time this month a commuter has died in such a nightmarish fashion. (AFP) By THE ASSOCIATED PRESS. NEW YORK A woman who told police she shoved a man to his death off a subway platform into the path of a train because she has hated Muslims since the Sept. 11, 2001, terrorist attacks and thought he was one was charged Saturday with murder as a hate crime, prosecutors said. Erika Menendez was charged in the death of Sunando Sen, an immigrant from India who was crushed by a No. 7 train in Queens on Thursday night, the second time this month a commuter has died in such a nightmarish fashion. Menendez, 31, was awaiting arraignment on the charge Saturday evening, Queens District Attorney Richard A. Brown said. She could face 25 years to life in prison if convicted. She was in custody and couldn’t be reached...

Watu 8 wafariki Kenya

  Familia zilizoathiriwa kwa mujibu wa Gazeti la Standard Nchini Kenya wakipekuwa mali yao baada ya maporomoko hayo ya Ardhi Watu wanane wamekufa baada ya nyumba kadha kufukiwa na maporomoko ya ardhi katika eneo la bonde la Kerio, magharibi mwa Kenya, jana usiku. Maporomoko ya ardhi yamesababishwa na mvua kubwa zilizonyesha katika bonde hilo. Eneo la Kerio pia limekumbwa na mafuriko kutokana na mvua kubwa inayonyesha. Chama cha Msalaba Mwekundu cha Kenya kinasaidia jitihada za uokoaji na kutoa taarifa kwamba miili miili ya watu wanane imeonekana na watu wengine watano waliokolewa mapema leo. Watu wengi hawana makaazi kutokana na nyumba zao kusombwa na maji au kufukiwa na maporomoko ya ardhi.Source BBC.

HOJA YA MDAU: UFAHARI WA KWENYE MISIBA UONESHENI KATIKA UGONJWA WA MZEE SMALL

Staa wa Vichekesho na Filamu Bongo, Said Mohamed Ngamba ‘Mzee Small’ akiwa amelazwa hospitali kutokana na maradhi yanayomsumbua. KWENU mnaohusika na sanaa ya filamu Bongo. Mnajitambua sina haja ya kuwataja mmojammoja kwa majina, nitamaliza ukurasa bure. Mimi najua mpo poa, mnaendelea na majukumu yenu ya kila siku. Binafsi niko poa, naendelea na majukumu yangu ya kila siku ikiwamo hili la kuwaandikia barua. Barua yangu leo moja kwa moja nailekeza kwa nyinyi wote ambao watu sasa hivi wanawatambua kwa jina la mastaa wa filamu katika soko la Bongo, Bongo Movies. Kikubwa ni kwamba, natambua mchango mlionao katika kusogeza gurudumu la maendeleo ya nchi. Natambua umuhimu wenu wa kuwatibu watu kisaikolojia kupitia filamu zenu mnazozifanya. Hongereni kwa hilo. Katika taaluma yangu ya uandishi wa habari, mara kadhaa nimeshuhudia uwezo wenu katika kufanikisha mambo yanayowahusu, iwe ni sherehe au misiba. Eeeh, kwenye sherehe basi mnalipuka na kushangweka kwelikweli. Kwenye misi...

Madereva wa bodaboda wa kike wavunja vikwazo vya kijinsia Kenya

Na Bosire Boniface, Garissa Picha ya teksi ya pikipiki ya Faith Kabura Makena kwenye barabara za Garissa nchini Kenya inatoa taswira ya nadra sana. Grace Ruwa Asar, mwanamke wa kwanza kuwa dereva wa bodaboda Kenya, akimbeba abiria kwenye eneo la Tana River Delta. [Bosire Boniface/Sabahi] Makena, mwenye umri wa miaka 30, alisema anajua kwamba kuchagua kwake biashara hii kumesababisha utata na mara kadhaa huwashangaza wakaazi wa huko anapowapita. Teksi za pikipiki, zinazojulikana kama bodaboda nchini Kenya, ni njia maarufu ya usafiri kwa wasafiri wanaotaka kukwepa foleni kubwa za magari mijini. Wakati inatoa fursa ya kupata maisha mazuri kwa waendeshaji wake, hii ni biashara ambayo imekuwa ikitawaliwa na wanaume tu. Hata hivyo, Makena alisema aliamua kuipa changamoto imani iliyopo na kuwa dereva wa bodaboda kwa sababu ni chanzo kizuri cha mapato ya kumuhudumia mtoto wake wa kiume wa miaka 6 na wazazi wake, ambao ana jukumu la kuwatunza kifedha. ...

Uganda awarded for best lab practice in Africa

By Violet Nabatanzi Uganda has been recognised for having the best laboratory practice in Africa. This was during the first international scientific conference of the African Society of Laboratory Medicine (ASLM) in Cape Town, South Africa. Three Ugandan laboratories were awarded. Speaking during a press conference at the Ministry of Health, the director general of health services, Dr. Jane Aceng, said: “Of the 10 awards that were given in three different categories, Uganda received all the three awards in the category of Best Laboratory Practice,” Aceng said. Uganda National Tuberculosis Reference Laboratory took the overall winning award for ‘Best Laboratory Practice’ for its contribution in TB service delivery. “The basis for this laboratory’s best practice was two-fold. First, the laboratory improved its quality management systems and biosafety practices, which led to its achievement of five-star rating in the World Health Organisati...

RIDHIWANI MGENI RASMI MKUTANO MKUU WA TASWA

MAANDALIZI ya Mkutano Mkuu wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) yanaenda vizuri na wajumbe wanatarajiwa kufika Bagamoyo Ijumaa Desemba 28, 2012 mchana kwenye hoteli ya Kiromo View Resort watakapolala na kufanyia mkutano. Ijumaa hiyo washiriki watatembelea maeneo mbalimbali ya kihistoria Bagamoyo na jioni kutakuwa na mechi ya kirafiki kati ya timu ya soka ya TASWA FC na Bagamoyo Veterani itakayofanyika Uwanja wa Mwanakalenge na usiku wajumbe watakuwa na chakula cha pamoja na kubadilishana mawazo kuhusiana na masuala mbalimbali yahusiyo michezo na taaluma ya habari. Mkutano Mkuu utafunguliwa Jumamosi Desemba 29, saa tatu asubuhi na mgeni rasmi atakuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Kusaidia timu za Taifa za Vijana, Ridhiwani Kikwete.TASWA imechukua jukumu la kumualika kutokana na kuwa mdau mkubwa na rafiki wa chama chetu. Mkutano utafungwa jioni ya siku hiyo na Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Assah Mwambene ambaye hiyo pia itakuwa naf...

Watoto Yatima wasaidiwa na Obafemi Martins wakati wa

Super Eagles striker, Obafemi Martins took it upon himself to spend his Christmas celebration with some orphanage homes and hospitals in Lagos. The Levante point-man, who is currently on a break from his Spainish football club activities, visited the Maternity Island Hospital, the SOS Village in Isolo and some hospitals in Lagos. Obagoal, as he is also called, embarked on this gesture on behalf of his foundation which gave gifts items and cash donations to the visited hospitals and orphanages. Sources close to Obagoal told Nigeriafilms.com that over N10million was splashed on hospital bills of babies born on Christmas day in Lagos which also included cash donations to their mothers.