Bendi ya muziki ya Ngoma Africa aka FFU inatoa Salam za Heri ya mwaka mpya 2013 kwa wadau wote popote pale walipo Mwaka 2013 uwe wa Amani,Upendo mafanikio kwa wote,mwaka mpya uwe na mtazamo mpya kwetu sote, msimamo wa kuziba nyufa na mmomonyoko uliopo katika jamii yetu ya watanzania. Wito wa Ngoma Africa 2013 ni vita vya kuziba nyufa na kuimarisha upendo na mshikamano na umoja wa kijamii katika taifa letu ,ambao ndio msingi pekee wa maisha bora kwa kila mtanzania ! Happy New Year 2013 furahia mwaka mpya namuziki hapa http://www.ngomaafrica.com au www.ngoma-africa.com