Nigeria inatengeneza zaidi ya movie 50 kwa wiki moja , ina toa ajira kwa watu zaidi ya millioni moja ikiwa ni Sekta ya
pili inayo ongoza kwa kutoa ajira huku Sekta ya kilimo ikiongoza?!ameeleza mdau mmoja aliyepitia makala kuhusu wasanii wa Nigeria
Nigeria ni nchi ambayo kwa wiki ina uwezo wa kutengeneza movie 50 na 30 zenye vigezo vya kimataifa.
Comments