BOB
MAKANI TUTAKUKUMBUKA KWA UJASIRI WAKO:Mwaka2010 Kwenye Uzinduzi Kampeni
Jangwani Nakumbuka Ulivyoisema Chadema Wa Waasisi Wake24.Makani Alisema
Nashangaa Ccm Wanavyolaghai Watz Chadema Chama Cha Kaskazini.Anasema
Nilipomaliza Shahada Makerere Nilienda Soma Liverpool
University.Nilirudi Tz Nikaajiriwa Kama Mwanasheria Wa Serikali Baadae
Nilikwenda Kuwa Mwangalizi Wa Hesabu BOT.Tulikuwa karibu sana na Mtei
Ambaye1989 baada ya kuungua BOT tulichunguza tukio kwakina kwa sababu
ambazo sitowaambia niliwachukia sana viongozi wa ccm.Niliona Mpango Wa
Kuwakomboa Maskini Hautafikiwa Tena Kupitia Ccm.Mtei Nae Alikerwa Na
Kitendo Hicho.Nilitaka Acha Kazi Mtei Akaniambia Tuimarishe Kwanza
Uchumi Na Shilingi Tusiiache Nchi Ktk Shida Ile.Baadae Tukaacha Kazi
Tukakutana Na Watu Wenye Mtazamo Kama Wetu Tukaanzisha Chadema Watu
Tulioanzisha Ni Edwin Mte-Arusha,Brown Ngwililupi-Iringa,Edward
Balongo-Kagera,Victor Kimasela-Manyara,Alexander Pumbuli
Simbira-Tabora,n.k Sasa Huo Ukanda Upo Wapi?
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Moh amed Shein,alipokuwa akifanya mahojiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa wa Zanzibar kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo,ambapo zoezi hilo linatarajia kuwanza Oktoba 15 mwaka. Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo,(kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu

Comments