Mwimbaji kutoka Kenya mwanadada Avril ameweka wazi kupitia mitandao
ya kijamii kuwa ni mjamzito na mwenye furaha ya kutakakumkaribisha
duniani mtoto wake.
Avril alipost kwenye mitandao ya kijamii picha zinazoonesha maisha
yake ya uchumba na mwanaume wa Afrika Kusini, amepost picha ya nguo na
kiatu cha mtoto kwenye Instagram na kuandika “Cute”.
Baadhi ya watu maarufu na marafiki wa mwimbaji huyo wamejibu kwa
kumpongeza kupitia mtandao huo. Swali la Nchakali lilimfanya Avril
kufunguka zaidi na kueleza wazi kuwa anamleta mtoto atakayecheza na Zion
(mtoto wa NchaKali).
“Only you would say that…. Zion’s playmate asap.” Avril alimjibu NchaKali
Comments