BVR YAINGIA SIKU YA PILI DAR ES SALAAM
Zoezi la uandikishaji wapiga kura katika jiji la Dar es salaam leo limeingia siku ya pili.Kama hukufanikiwa kujiandikisha jana basi leo ni nafasi yako kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura.
Tuambie hapa hali iko vipi katika eneo ulilopo

Comments