Shukran
Kubwa sana Zimfikie Mwenyez Mungu kwa Tuzo hii, na pia Shukran za Dhati
Ziwafikie Wadau, Media, Wasanii na Mashabiki zangu wote kwa kunipigia
kura na Kuhamasisha kwa Nguvu...Niushkuru sana Uongozi wangu, Familia
pamoja na Team nzima ya @wcb_wasafi hususan Madancers wangu kwani
Naamini wao ndio wamenipika nikapikika hadi leo hii kuweza kuletaTunzo
hii Nzito ya Mtumbwizaji Bora Africa, Nyumbani...lakini pia Shukrani za
kipekee zimfikie Mama yangu kipenzi Sandra kwa Mafunzo na Malezi
anayonipa kila siku juu ya Dunia....na Shukran tena za kipekee na aina
yake zimfikie Roho yangu, Kipenzi Changu @zarithebosslady Kwa raha na
Usingizi mwanana anipatiao na kunifanya nizidi kutunga na kuwa M'bunifu
kwenye kazi..
Burhoney Wa MpondaKama
Kuna mtu anamchukia Diamond aisee namshauri ampende tu mana hakuna
namna kumchukia Diamond ni kujitafutia ugonjwa wa moyo tu kumchukia mtu
anayetusua duh
Comments