Mgombea
wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwa kwenye gari la
wazi pamoja na mgombea mwenza Mhe.Samia Suluhu Hassan kwenye mitaa ya
Michenzani Zanzibar
Mhe.
Magufuli aliwasili Zanzibar kwa lengo la kutambulishwa kwa wanachama wa
CCM Zanzibar akiongozana na mgombea mwenza Mhe.Samia Suluhu Hassan
ambapo wote kwa pamoja walipata kuwasalimia wananchi wa Zanzibar kwenye
viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Zanzibar
Maelfu
ya watu wakiufuata msafara wa mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Mhe.
John Pombe Magufuli aliyeongozana na mgombea mwenza Mhe. Samia Suluhu
Hassan
Mgombea
wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk.John Pombe Magufuli akivishwa skafu na
chipukizi wa CCM Zanzibar mara baada ya kuwasili Afisi Kuu ya CCM
Zanzibar
Mgombea
Mwenza kwa tiketi ya CCM Mhe. Samia Suluhu Hassan akivishwa skafu na
chipukizi wa CCM nje ya jengo la Afisi Kuu ya CCM Zanzibar
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk.John Pombe Magufuli akisalimiana na wazee maarufu wa Zanzibar
Mhe.
Magufuli akiwasili kwenye kaburi la muasisi wa Mapinduzi na Rais wa
Kwanza wa Serikali Mapinduzi ya Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani
Karume
Mgombea
wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk.John P.Magufuli pamoja na mgombea mwenza
Mhe. Samia Suluhu Hassan wakiomba dua mbele ya kaburi la Hayati Abeid
Aman Karume muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha Wageni kwenye Afisi Kuu ya CCM Zanzibar
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha Wageni kwenye Afisi Kuu ya CCM Zanzibar
Makamu
Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya
Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mgombea wa Urais kwa
tiketi ya CCM Dk. John Magufuli nje ya Afisi Kuu ya CCM Zanzibar kwenye
sherehe fupi ya kutambulishwa wagombea wa CCM kwa wanachama wa CCM
Makamu
Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya
Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mgombea Mwenza Mhe. Samia
Hassan Suluhu
Kila mtu alitamani kushikana naye mkono
Mgombea
wa Urais kwa tiketi ya CCM Mhe. John Magufuli akiwasalimu wananchi
waliojitokeza kwenye sherehe fupi za kumtambulisha kwenye viwanja vya
Afisi Kuu CCM Zanzibar
Wananchi wakishangilia
Makamu
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
Dk.Ali Mohamed Shein akihutubia wakazi wa Zanzibar waliojitokeza kwa
wingi kushuhudia sherehe fupi za kutambulishwa kwa wagombea wa nafasi ya
Urais kwa kupitia CCM kwenye viwanja vya Afisi Kuu
Mgombea
mwenza wa nafasi ya Urais Mhe. Hassan Suluhu Hassan akizungumza kwenye
sherehe fupi za utambulisho nje ya Afisi kuu ya CCM Zanzibar
Mgombea
wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk.John Magufuli akiwasalimu wakazi wa
Zanzibar waliojitokeza kwa wingi kwenye sherehe za kumtambulisha yeye na
mgombea mweza kwenye viwanja vya Afisi Kuu Zanzibar
Wakazi
wa Zanzibar wakimsikiliza mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John
Magufuli kwenye viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Zanzibar
Makamu
Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na mgombea wa ueais kwa kupitia CCM Dk.
John Magufuli
Dkt. John Pombe Magufuli akiwaaga wanachama wa CCM kisiwani Zanzibar. Picha na Adam Mzee
Comments