Mh. Rais
Yoweri Museveni wa Uganda akifungua rasmi mkutano wa Marais wastaafu wa
Afrka AFRICA LEADERSHIP FORUM unaofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini
Dar es salaam Mkutano huo unaojumuisha marais wastaafu Benjamin Mkapa
wa Tanzania , Olusegun Obasanjo wa Nigeria, Hifikepunye Lucas Pohamba wa
Namibia, Festus Mogaye wa Botswana, Bakili Muluzi wa Malawi na Jerry
Rowlings wa Ghana unajadili masuala mbalimbali ya maendeleo katika bara
la Afrika na Changamoto zinazokabili barahilo na umeandaliwa na Taasisi
ya Uongozi Institute.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)
Marais wastaafu Bakili Muluzi wa Malawi kulia na Jerry Rawlings wa Ghana wakiwa katika mkutano huo.
Rais
Mstaafu wa Nigeria Olusegun Obasanjo kushoto na Salim Ahmed Salim Katibu
Mkuu Mstaafu wa AU na Waziri mkuu Mstaafu wa Tanzania wakiwa katika
mkutano huo.(P.T)
Baadhi ya waalikwa kutoka taasisi mbalimbali wakiwa katika mkutano huo.
Gavana wa Benki KuuProf. Beno Ndulu wa tatu kutoka kulia na wageni mbalimbali wakihudhuria katika mkutano huo.
Marais
wastaafu kutoka kushoto ni Hifikepunye Lucas Pohamba wa Namibia,Benjamin
Mkapa wa Tanzania na Festus Mogaye wa Botswana wakifuatilia mkutano
huo.
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof.
Elisante Ole Gabriel wa pili kutoka kulia pamoja na watendaji wa taasisi
mbalimbali wakifuatilia mkutano huo.
Rais Mstaafu wa Tanzania Mh. Benjamin Mkapa akitoa mada katika mkutano huo.
Mh. Rais
Yoweri Museveni wa Uganda kulia akiwa katika mkutano huo pamoja na
marais wastaafu kushoto ni Rais Mstaafu wa Nigeria Mh. Olusegun
Obasanjo.
Comments