Skip to main content

Ebu tupia macho mtazamo wa Ngasa kwa Yanga



KIUNGO mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mrisho Khalfan Ngassa amesema Yanga SC kwa sasa ina matatizo mawili makubwa ya kutatua haraka kabla ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kuanza.

Tatizo la kwanza ni timu kukosa namba 10 na tatizo la pili ni ubinafsi wa washambuliaji ambapo kila mtu anataka kufunga peke yake.
Ngassa aliyeondoka Yanga SC Mei mwaka huu kuhamia Free State Stars ya Afrika Kusini, amesema Yanga SC haina mchezaji wa kucheza nafasi ya namba 10 na pia wachezaji wote wa mbele wanataka kufunga.
Akizungumza na mdau wa habari hizi , Ngassa alisema kwamba Yanga SC ina wachezaji wa aina moja tu ambao wote wanaweza kucheza kama namba 9.“Yanga SC inakosa namba 10. Mchezaji wa kupenya penya pale ndani, Malimi Busungu anaweza kutumika namna hiyo, lakini mechi na Azam alicheleweshwa kuingia uwanjani,”alisema Ngassa.
Lakini pia mchezaji huyo wa zamani wa Yanga SC amesema kwamba kuna tatizo lingine katika safu ya ushambuliaji la Yanga, kila mchezaji anataka kufunga matokeo yake watu hawatengenezeani nafasi.
“Kila mtu anataka kufunga yeye, sasa hawatengenezeani nafasi. Ndiyo matokeo yake mnashambulia sana mabao hakuna. Lazima Yanga SC wabadilike,”ameongeza Ngassa.
Ngassa alikuwepo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam juzi wakati Yanga SC ikitolewa kwa penalti 5-3 na Azam FC katika Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame kufuatia sare ya 0-0 ndani ya dakika 90.
Na makocha Mholanzi, Hans van der Pluijm na mzalendo, Charles Boniface Mkwasa waliwaanzisha kwa pamoja Mrundi Amisi Tambwe na Mzimbabwe Donald Ngoma, huku Busungu akianzia benchi.

Comments

Popular posts from this blog

Thousands of protesters clash with police in Chicago: Chaos in the Windy City as 45 activists arrested and one cop stabbed after demonstrators target NATO

By DAILY MAIL REPORTER Thousands of demonstrators upset with the war in Afghanistan, climate change and the erosion of union rights have raised the intensity of a march in downtown Chicago on Sunday as world leaders assembled for a NATO summit. The protest, one of the city's largest in years, turned violent at the end of an anti-NATO march, where demonstrators confronted Chicago police, pushing against a line of officers several blocks from the lakefront convention center where President Obama hosted a gathering of world leaders. Authorities were seen making arrests one by one and leading individual demonstrators away in handcuffs. After a clash near McCormick Place, Chicago Police Superintendent Garry McCarthy said at a news conference that the protests resulted in 45 people being arrested and four officers suffering injuries - one from a stab wound in the leg. Scroll down for video Clash: Demonstrators try to flee the police as they are move in on them

MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KILELENI KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja. Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine was

HAYA NI MAKAO MAKUU YA MTANDAO WA Tigo TANZANIA DAR ES SALAAM

MAHALA yalipo ni Lugoda Street Gerezani Industrial Area , kwa sasa mdandao huu umefanya makubwa , kuna Tigo Bwerere Uilisha cheki hiyoooooo watu full kujiachia wana chonga tuu kwenye vyao vilonga.