Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Sunderland Asamoaha Gyan
amesaidia klabu yake mpya ya Shanghai SIPG kuibuka na ushindi wa mabao
2-1 dhidi ya Tianjin Ted katika mchezo wao wa ligi kuu ya China.
Asamoah amejiunga na klabu hiyo ya China msimu huu kutoka kwenye klabu ya Al Ain ya Uarabuni.
Cheki anavyotupiamabao hayo hapo juu
Comments