Nimekuwekea
picha wakati MH LOWASa akiwasili katika makao makuu ya chadema
kukabidhiwa form ya kuomba ridhaa ya chama kugombea urais ndani ya chama
hicho |
Waziri
Mkuu Mstaafu Mh.Edward Lowassa akiwa sambamba na Mkewe Mama Reginal
akiwasili makao Makuu ya chama cha CHADEMA yaliyopo Kinondoni jijini Dar
hivi punde ,kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais kupitia chama
hicho,Mhe.Lowassa amekihama chama chake cha CCM na kujiunga na UKAWA
kupitia chama cha CHADEMA na kukabidhiwa kadi ya uanachama hivi
karibu,jijini Dar es Salaam.
Mke
wa Waziri Mkuu Mstaafu,Mama Regina Lowassa akiwasili ofisi za Makao
makuu ya CHADEMA yaliyopo Kinondoni jijini Dar,akiwa ameambatana na Mh
Lowassa (hayupo pichani),kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais
kupitia chama hicho,Mhe.Lowassa amekihama chama chake cha CCM na
kujiunga na UKAWA kupitia chama cha CHADEMA na kukabidhiwa kadi ya
uanachama hivi karibu,jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Mstaafu Mh.Edward Lowassa pichani akiwapungia wanachama na
wafuasi mbalimbali wa chama cha CHADEMA waliofika kumshuhudia akiwa
sambamba na Mkewe Mama Regina akiwasili makao Makuu ya chama cha CHADEMA
yaliyopo Kinondoni jijini Dar hivi punde ,kuchukua fomu ya kuwania
nafasi ya Urais kupitia chama hicho,Mhe.Lowassa amekihama chama chake
cha CCM na kujiunga na UKAWA kupitia chama cha CHADEMA na kukabidhiwa
kadi ya uanachama hivi karibu,jijini Dar es Salaam.
Waziri
Mkuu Mstaafu Mh.Edward Lowassa pichani akiwapungia wanachama na wafuasi
mbalimbali wa chama cha CHADEMA waliofika kumshuhudia akiwa sambamba na
Mkewe Mama Regina akiwasili makao Makuu ya chama cha CHADEMA yaliyopo
Kinondoni jijini Dar hivi punde ,kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya
Urais kupitia chama hicho,Mhe.Lowassa amekihama chama chake cha CCM na
kujiunga na UKAWA kupitia chama cha CHADEMA na kukabidhiwa kadi ya
uanachama hivi karibu,jijini Dar es Salaam.
Waziri
Mkuu Mstaafu Mh.Edward Lowassa akiwa sambamba na Mkewe Mama Reginal
akiwasili makao Makuu ya chama cha CHADEMA yaliyopo Kinondoni jijini Dar
hivi punde,kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais kupitia chama
hicho,Mhe.Lowassa amekihama chama chake cha CCM na kujiunga na UKAWA
kupitia chama cha CHADEMA na kukabidhiwa kadi ya uanachama hivi
karibu,jijini Dar es Salaam.
KWA HISANI YA JIACHIE BLOG
Comments