Skip to main content

Kutoka Facebook Leo

BULAYA AITOSA CCM
Hali imeendelea kuwa tete ndani ya Chama Cha CCM, baada ya aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum CCM mkoa wa Mara, Esther Bulaya mbunge machachari , kuitosa CCM kwa kutangaza uamuzi wake wa kutogombea ubunge kwa tiketi ya chama hicho.
Una neno gani la kumwambia Esther ?
East Africa Television (EATV)'s photo.


Comments