Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Kwa Mangi kata ya Kibosho Kati ambapo aliwaambia wananchi waache kujipitisha pitisha kugombea nafasi za uongozi kabla ya muda kuisha na kutangazwa.
Zaidi ya wanachama 335 wamejiunga na CCM kwenye mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na mwanafunzi Elia PeterUlomi wa shule ya sekondari ya Somsom.
Jengo la chuo cha KVTC kama lionekavyo kwa nje,ambapo Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alitembelea
Shamba la Mpunga lililopo Mabogini.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wanafunzi alipotembelea chuo cha KVTC-Kibosho Moshi vijijini.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kupanda mti wa
kumbukumbu kwenye chuo cha Ufundi KVTC,Kibosho wilaya ya Moshi Vijijini
mkoani Kilimanjaro.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki uvunaji wa mpunga kwenye skimu ya umwagiliaji ya Lower Moshi.
Mbunge wa
Jimbo la Moshi Vijijini Ndugu Cyril Chami akihutubia wananchi wa kijiji
cha Chekereni kata ya Mabogeni. Kata ya Mabogeni ina vijiji 8 na vyote
vimeshinda kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa. Jimbo la Moshi Vijijini
lina Kata 16 ,shule za sekondari zilizojengwa ni 29.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa kijiji cha Chekereni kata ya Mabogini.
Comments